Wasiliana Nasi

Je, una maoni, maswali au changamoto kuhusu Sinodi ya Musoma au kuhusu blog hii?
Usikae kimya. Tuandikie kupitia sinodimusoma@gmail.com.

Unaweza kuwasiliana moja kwa moja na wafuatao kuhusu hatua mbalimbali za Sinodi ya Musoma

Pd. Robert Luvakubandi
Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Maandalizi ya Sinodi,
Simu: +255 755 006597 au  +255 782 950260  Barua pepe, rluvakukbandi@yahoo.co.uk
 
Pd. Benedict Luzangi
Mwenyekiti Kamati ya Mawasiliano (Sinodi ya Musoma)
Simu: +255 754 076 709 au +255  786 475 300 Barua pepe, luzangibenedict@gmail.com

Jisikie Huru pia kushirikisha rafiki zako na kutoa Maoni au Hisia zako kuhusu makala mbalimbali zinazoandikwa katika blog hii.

Tunatanguliza shukrani kwa ushirikiano wako.

No comments: